TANGAZA HAPA BIASHARA YAKO:

 

Siri ya Mwanamke Mkakamavu Contact- Manager

USIKU WA MWANAMKE MKAKAMAVU- TANZANIA
at MJENGONI CLUB ARUSHA
 

 
Mjengoni Club Arusha, inawaletea, "Usiku wa Mwanamke"  

Ambaye muongeaji mkubwa Siri ya Mwanamke Mkakamavu anakuja kutoka Ujerumani na Kuongelea mambo motomoto katika Usiku huo.
 Kwa wale wengi wetu, tunamfaham sana, Siri ya Mwanamke Mkakamavu kwa michodo na mafunzo yake katika Channel yake ya YouTube. Basi usimkose njoo umwone surakwasura, katika Usiku huu wa Mwanamke.

Usikose kutembelea kurasa hii kila mara uingiapo katika peji hii ili ujue ni Tarehe gani?




TOPIC ZA USIKU WA MWANAMKE 

1. Mwanamke Jipende na Jikubali kama ulivyo.
2. Kupungua Uzito bila kufanya Diat.


      VIP Tickets: 30,000 Tshs.
                   KIINGILIO: 10,000   Tshs.         


SIKU : IJUMAA

MUDA : KUANZIA SAA 8:00 JIONI - Wanawake tu

 
TAREHE : 24. 07. 2018


BAND / MUSIC : MJENGONI CLASSIC BAND





Hakikisha Unapendeza, Ni Usiku wetu huu Wanawake wenzangu.




"DRESS TO IMPRESS, LADIES IN RED"

Jamani Wapendwa Nguo ya Usiku huu, ni RED. Mama usije vaa Rangi nyingine, Maana


 Mlangoni huta ruhusiwa. 

 

DHUMUNI KUBWA LA KUFANYA EVENT HII;
MAMA na MTOTO na KUJITAMBURISHA

Dhumuni jingine kubwa la kufanya talk Show hii ambayo nitakwenda kuongelea mambo mazuri kama kawaida yangu, Lakini pia...


ni kwamba, Sisi wote tunajua ni kiasi gani Mwanamke Mjamzito anapata tabu pale akienda kujifungua, na Tatizo kubwa ni VITANDA, Wanawake wanalala chini, au bila mashuka ili tu wajifungue. 


Kitu hiki kilinihudhunisha sana, na ndio maana nikaamua niandaae show hii ili Mama na Mtoto wafaidike, na Mashabiki wangu wafaidike kwa yale maneno murua ya kutoka kwangu.  Siwezi sema au kuahidi nitanunua mashuka ya Hospital nzima, HAPANA!, bali nitajitahidi kuweka kile kidogo mlichotoa kuchangia na kusaidia kidogo.


Basi kata Ticket yako ukijua kuwa, Pia tunajisaidia sisi wenyewe kama Wanawake Wakakamavu.

Zawadi Za Kutoka Ujerumani.
 Muhim soma hapa chini.

Kama nilivyowaahidi kwenye Video zangu YouTube kuhusu Zawadi. Ni kwamba Zawadi zitatolewa kwa watu 50 tu wa kwanza kujiandikisha, Na wenye Uhakika watakuja na watakata Ticket.  Wakifikia Watu 50, basi tena sitagawa tena, kama ulichelewa , usikose mwaka mwingine kujiandikisha haraka. :)  Kujiandikisha anza kuanzia mwezi wa Tano. Karibuni.

Pia Zawadi hizi zitatolewa katika Usiku wa Mwanamke tu!! Kwa hiyo ukijiandikisha hakikisha unakata Ticket yako Mapema, kwani Ticket zipo 250 Tu.

Angalieni zawadi zitakazotolewa, za kutoka Kwa Siri ya Mwanamke Mkakamavu.

 

ANDIKA JINA KAMILI WAJAMENI, UBINI MSISAHAU.

Karibu, Asante kwa Kujiandikisha, utatumiwa namba ya kuingilia ili upate zawadi yako. Usipopewa namba hadi wiki moja, basi ujue watu 100 washafikia, hivyo hutapata namba. asante kwa kuelewa na kujiandikisha.
Oops. An error occurred.
Click here to try again.
 

WATAKAO JIANDIKISHA, WATAANDIKWA MAJINA YAO HAPA CHINI

1. Fransisca

2. Vicky Makinda

3. Irene G. Shoo

4. Happy Mally

5. Vicencia Vitus

6. Devotha Mlenge

7. SARAH CHARLES MGORI

8. Hildetha Mapunda

9. Winnie Gerlad

10. Sarah Lyimo

11. Vicky Methord

12. Eunice- eunicenkomola@yahoo.co.uk

13. Maya-

14. Blak shiner

15. Catherine Enos

16. Sabihuna mvungi

17. Edina Massawe

18. Winnie

19. Zena Msigwa

20. Ngaya Boaz John

21. Moza ulaya.

22.Violet Mbikilwa

23. Neema chriss

24.Violet Mbikilwa

25.Jasmine

Surprise katika Usiku wa Mwanamke


Katika Usiku huu, Siri ya Mwanamke Mkakamavu atatoa surprise vitu ambavyo ni Made in Germany. Kwa hiyo usitupe na usichane Ticket yako uliyolipia. Wanawake watano watapata zawadi hizi. Siri yaMwanamke Mkakamavu atasoma namba Tano za Ticket, na kuwakabidhi zawadi zao.


1. Parfum 


                                                                            2. Cream ya Kuondoa Madoa Usoni na Mapajani


3. Lipgloss


4. Mascara


5. Eyeliner



 
 

LAST EVENT / PARTY 2017 GERMANY


01.April.2017     

Von 11:30-17:00 Uhr 





1. Lernen Sie, sich selbst zu lieben    
              
     2.Lernen Sie, wie man sich als Frau richtig reinigt

 3.Unsere Männer / Freund / Freundin        
       
            4. Unser Schlafzimmer, Zum Schlafen oder für Sex?  




Speisen: Ja

Getränke: Oh ja

Geschenke für alle: Ja

Gemütliche Atmosphäre: Absolute

Film: Ja

Musik: Natürlich

Jungs: Leider nein !! ;)

Clothes-Code: All inWhite

Mobiltelefon: Nein

Kamera: Nein

Preis pro Karte: 55,- €
 
 pro Person"für das Essen,Musik &Trinken."


Parkplatz: aber sicher 



********************
No Thang On Me
Snoop Dogg Feat. Bootsy Collins (R&G (Rhythm & Gangsta): The Masterpiece)
-4:41