Shanga Za Kiuno Za Kifahari

LUXURY SHANGA

(in English)


What is Shanga?


Shanga means waist pearls, they are created to be worn down or in the middle of the abdomen. You can find them with almost any kind of Shell, Gemstone, Glass, Plastic, Pearls or even Gold, Silver, Clay or Wood. 


I am designing my Shanga by using Pearls from Tanzania(Masai), Silver and Gold Made in Germany. I design them very simple as  I want the Woman to feel comfortable without being disturbed with any scratch, especial while making love, Swimming or on her everyday use.


My Shanga can be worn with all Woman shapes and sizes, It's like Lingerie, You wear Lingerie under your Clothes for yourself or for your Husband, Boyfriend, or Lover. 

Shanga is exactly the same, just more Special, Sexy, Beautiful and very Feminine.


I always tell my Women on my Talk shows: If a woman removes all her Clothes, what remains? NOTHING! only nude! But with my Beautiful Shanga, a woman will look sexy, Feminine and your Husbands, Lovers, Boyfriends, will never get enough from you. Darling, Stop being bored, start today, wear my Shanga, first for yourself, for your Husband, Boyfriend,Girlfriend,  then may be for  the others. 

Be Beautiful, Stay Beautiful, accept yourself just the way you are. 
   YOU ARE BEAUTIFUL 
SHANGA ZA KIFAHARI

(in Kiswahili)


Wapendwa nishawaambia kuwa Mimi ni Designer wa Shanga za Kifahari za Kiuno. na Vikuku(za miguuni.)Nazitengeneza Mimi mwenyewe, nazichanganya na Gold au Silver ya Kijerumani. Ni vile tu Utakavyo . Pia Shanga zangu za Kiuno zote zina Logo yenye jina langu, kwa wale wezi na waigirizaji :) kazi kwenu.


Utam wa Penzi, shuti Mwanamke uwe na Shanga Kiunoni. Shanga za Kiunoni hazitumiki kitandani tu, bali zinaweka tofauti kati ya Mume na Mke. Mwanamke Mkakamavu hakosi kuwa na Shanga yake iliyotengenezwa vizuri Kiunoni kwake. Shanga ya Kiuno, inaleta tamaa ya Penzi, Inaasirisha Uafrika wetu, Mwanamke avaae Shanga ya Kiuno, huonekana sexy, na Hupendesha wakati wowote hasa akiwa Uchi.


Nunua na Uvae Shanga za Kiuno, sio kwa ajiri ya Mumeo tu, Hapana! Vaa hizo kwa wewe mwenyewe, Jifurahie kuwa umezaliwa Mwanamke, Wewe ni Mrembo na Mzuri,. Shanga zaongeza tu, ung'aro na Umbire lako lionekane moto. 


Pia Shanga za Kiuno ni nzuri, kwa sababu zinakuambia kama umeongeza Uzito, Ukiwa umeongeza Uzito basi Shanga ya Kiuno inapanda juu, Ukipungua Uzito yashuka chini, haya Mama sasa huitaji vipimo, Shanga yatosha. :) 


Mwanamke wa umbile lolote anaweza na anapendeza akivaa Shanga ya Kiuno, Tena kama unatumbo kubwa ndio poa sana, Mumeo atakuwa yupo busy anaangaia uzuri wa shanga ya Kiuno na kusahau kuangalia tumbo lako. Kama wewe ni mnene, mwembamba, mfupi, mrefu, mweupe au mweusi, vaa tu, utapendeza. Wewe ni Mzuri kabisaa.


Ila angalia usivae mijishanga ya ajabu ajabu, hiyo itakufanya uonekane kama vile mganga wa juju. Usifanye hivyo Tafadhali. Vaa Shanga nzuri, zilizotengenezwa na rangi nzuri, zenye mvutio na zinazopendeza vizuri na nguo zako za Ndani.  na tena kwa ushauri wangu tu, usivae Shanga Kumi kiunoni, wajamenii aaaah. vaa kuanzia moja hadi Mbili zatosha kabisaaa.


Kwa Ushauri, wa Rangi, design, basi wasiliana na mimi kama ungependa  Ili nikutengenezee.Kwa maelezo zaidi basi wasiliana na Siri ya Mwanamke Mkakamavu.

Email: siri-yamwanamkemkakamavu.de

 

JINSI YA KUJIPIMA - LUXURY SHANGA ZA KIUNO.

1.

 Ondoa nguo au pandisha nguo juu, Ilikupata Kipimo sahihi cha Kiuno chako.

2.

Tafuta Kiuno chako, jishike na ujiangalie ni wapi unataka shanga yako ifikie.

 

3. Zungusha Tepi kwenye kiuno chako au pale unapotaka shanga yako ikae. Usibinye ndani sana, weka iwe legevu, Hakikisha Tepi imekaa vizuri nyuma pia.

Exhale na kisha angalia kipimo kwenye mkanda. Upimaji wako wa kiuno utakuwa mahali pale kwenye mkanda ambapo mwisho wa sifuri hukutana na mwisho wa slack ya kipimo cha tepi. Namba inaonyesha kipimo chako cha kiuno kwa inchi na / au sentimita, kulingana na aina ya tepi ya kupima uliyotumia. Basi hiyo ndio size yako, Nitumie :)
 

Asanteni Sana Wapendwa 

Let It Flow
Toni Braxton (Secrets/More Than A Woman)
-4:22